ODINGA APINGA MATOKEO



Mgombea Urais kupitia Azimio la Umoja - Raila Odinga, apinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu Kenya

Odinga amesema, tayari taratibu za kisheria kwa mujibu wa katiba zimeanza kuchukuliwa na kuwataka wakenya kuendelea kuwa watulivu na kuitunza amani huku akimshutumu mwenyekuti wa IEBC kwa madai ya kutaka kuliingiza taifa la Kenya kwenye vurugu kwa kumtangaza Rais Mteule, William Ruto licha ya kasoro zilizojitokeza.

#KenyaDecides2022 #KenyaElections

Source: Salim Kikeke

Comments