OMMY DIMPOZ MSANII WA KWANZA KUPOSTIWA KWENYE PAGE YA MAN UNITED

Baada ya kuhudhuria mwaliko kuhudhuria mechi na kupata fursa ya kupiga picha nyingi, msanii Ommy Dimpoz ameweka historia nyingine ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupostiwa kwenye ya instagram ya timu hiyo.

Source: Ommy Dimpoz

#Zurii #ZuriiAfrica #OmmyDimpoz #EPL #ManUTD


Comments