Paul Pogba atishiwa na majambazi huku kaka yake akiapa kutoa madai makali kumhusu.


Ikiwa imesalia miezi michache kabla ya Kombe la Dunia, mchezaji huyu wa Juventus amekuwa akikabiliwa na madai ambayo hayajathibitishwa yaliyotolewa na kaka yake huku pia akisemekana kulengwa na genge la wahalifu. Paul Pogba anadai kuwa anatishiwa na wahalifu wanaojaribu kumlaghai fedha kiasi cha Euro 11 milioni.

Mamlaka za nchini Ufaransa tayari zimeanza kuchunguza madai hayo ili kutafuta na kujua undania wake.

Source: Sky Sports

Comments