Mpango huo unaifanya Scotland kuwa nchi ya kwanza duniani kutoa bidhaa hizi za usafi kwa wanawake malipo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kimataifa kukomesha "umaskini wa majira" - au ukosefu wa upatikanaji wa visodo au pedi za usafi kwa sababu ya gharama kuwa kubwa mno.
Monica Lennon, mbunge ambaye aliwasilisha pendekezo la rasimu ya Sheria ya Bidhaa za Hedhi mnamo 2020, alitweet kwamba Scotland inaweza kuwa "nchi ya kwanza lakini haitakuwa ya mwisho" kutoa bidhaa hizo bure.
Ireland Kaskazini inakusudia kuanzisha mpango huu, huku New Zealand na Seoul tayari zinatoa bidhaa za hedhi bila malipo mashuleni.
#sanitarypadscampaign #freesanitarypads #freetampons #freeperiodproducts #tanzania #hedhisalama
Source: Nytgender
Comments
Post a Comment