SERIKALI KUONGEZA VITUO 2000 VYA INTANETI YA BURE

Serikali ya Uganda inaongeza vituo hivyo Nchini kote ikilenga kuongeza ufikiaji wa huduma ya Intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa Nchi, ikiwemo wakati wa dharura kwa watakaohitaji huduma za Serikali

Hadi sasa Uganda imeweka vituo 600 vya Wi-Fi katika Mikoa mbalimbali ambapo 300 kati yao vipo Jijini

#Internet #Uganda

Comments