SIKU YA SENSA '23 AGOSTI' NI MAPUMZIKO YA KITAIFA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea Makarani wa Sensa na kutoa maelezo sahihi.



Source: Msemaji Mkuu wa Serikali

Comments