SIMBACHAWENE ATOA TAMKO BAADA YA CLIP ZILIZOSAMBAA MTANDAONI


“Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….

Nimemwagiza Mkuu wa kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la Police na ametenda kosa la usalama barabarani?ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA.

Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lakini pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote. POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA.

Ni Mimi.
George B. Simbachawene(MB)





Comments