
Jarida la Forbes linaiandika Tanzania kuwa nchi ya 4 kwa uzuri duniani kutokana na vivutio na mandhari nzuri iliyopo katika maeneo mbalimbali ya nchi ambayo huvutia wageni kusafiri na kuja kujionea.
Tanzania inashikilia nafasi ya 4 juu ya nchi kubwa kama Marekani na Ufaransa. Hii hapa list ya nchi zote 50:
- Indonesia
- New Zealand
- Colombia
- Tanzania
- Mexico
- Kenya
- India
- France
- Papua New Guinea
- Comoros
- Ecuador
- United States
- Vanuatu
- Japan
- Solomon Islands
- Italy
- Phillipines
- Peru
- Australia
- Costa Rica
- Norway
- Argentina
- Grenada
- Malaysia
- Tonga
- Iran
- Saint Vincent & the Grenadines
- Saint Kitts & Nevis
- Chile
- China
- Samoa
- Bolivia
- Nicaragua
- Eritrea
- Jamaica
- Cape Verde
- Greece
- Thailand
- Venezuela
- El Salvador
- Myanmar
- Uganda
- Iceland
- Russia
- Dominican Republic
- Switzerland
- Northern Mariana Islands
- Haiti
- Panama
- Sweden
Source: Forbes.com
#Tanzania #Tourism #RoyalTour #TheRoyalTour #Utalii #VisitTanzania #Beautiful Tanzania
Comments
Post a Comment