Majaliwa ashiriki mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Japan

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wa pili kushoto)  wakijiandaa kuweka maua wakati wa  mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo  Abe yaliyofanyika  Tokyo nchini Japan Septemba 27, 2022. 

Wengine kutoka kushoto  ni mke wa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Consolata Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Baraka Luvanda na kulia ni Naibu Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.

Comments