Rapa maarufu kutoka nchini Marekani Coolio, amefariki dunia. Rafiki na meneja wake Jarez Posey amethibitisha.Coolio aliyewika sana kuanzia miaka ya 90 atakumbukwa kwa umahiri wake na vibao vyake vikali vilivyosikika zaidi kama ‘Fantastic Voyage’ na ‘Gangsta’s Paradise’ ambacho kimpa tuzo ya Grammy mwaka 1996.
Coolio alifariki akiwa hospitalini jana jumatano mchana na bado sababu za kifo chake hazijawekwa wazi.
Comments
Post a Comment