Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara Yanga, leo imemtambulisha Andre Matine kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo.
“Niliulizwa kwa nini nimeichagua Yanga, jibu langu lilikuwa ni rahisi tu, kwa sababu Yanga ni klabu kubwa Afrika,” amesema Andre Mtine, raia wa Zambia aliyetangazwa kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa Yanga.
Comments
Post a Comment