Marioo na Platform waachia video ya Fall

Wakali wawili wa Bongo Fleva, tunamzungumzia Marioo na Platform leo wametuletea video ya ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Fall. Bonyeza hapo chini kuitazama, enjoy!


Comments