Kifo cha mtoto ‘swiming pool’: Polisi yawashikilia wafanyakazi wa Davido

Polisi nchini Nigeria imesema inawashikilia Wafanyakazi wa Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Davido kwa ajili ya kuwafanyia mahojiano juu ya kifo cha mtoto wa msanii huyo ambacho kina utata.

Hata hivyo, ripoti za awali zilidokeza kwamba mtoto wa kwanza wa kiume wa Davido alizama kwenye bwawa la kuogelea (swiming pool) iliyopo kwenye makazi yake katika eneo la Kisiwa cha Banana huko Lagos nchini Nigeria.

#zurii #zuriiafrica #zuriiupdates #davido #chioma 

Comments