HARAMBEE YA SAIDIA GONGO LA MBOTO LONDON YAFANA

Tunapenda kutoa shukrani zetu za Dhati kwa watanzania wote  waishio  LONDON UK walioweza kufika jana jioni AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT waathurika wa Gongo la Mboto  Tanzania. Kwa mda wa masaa mawili  
tumeweza kukusanya Jumla ya  pesa taslim Pounds £600, pia tumekusanya Nguo nyingi kutoka kwa watu mbalimbali na vifaa vingine mbali mbali. 

Ningependa kutoa shukrani za dhati kutoka URBAN PULSE,MISS JESTINA BLOG,AIL TV, LOCUS IMPEX SHIPPING CO, SHILLA FRISCH, MRS NASIBU NA Utawala wa AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT LONDON kwa kusaidia na kuwezesha kufanikiwa kwa zoezi la jana.

Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania
Asanteni


JESTINA GEORGE AKIKARIBISHA NA KUSHUKURU WADAU
MWEKA HAZINA SHILA FRISCH AKIWA MAKINI KUHESABU MICHANGO
WADAU WA MATAIFA MENGINE WALITOA MCHANGO WAO
MR & MRS KAMWANO SABUNI WAKIKABDHI MCHANGO WAO
 WAKURUGENZI WA SERENGETI FREIGHT  WAKITOA MCHANGO WAO
 MDAU ABUU FARAJI AKIPEWA MKONO WA ASANTE 
 MDAU ALI HAMISI NA RAFIKI YAKE WAKIKABIDHI MCHANGO WAO 
MDAU FREDDY MACHA ALKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUCHANGIA 
MISS FB LYIMO NA MDAU CIDI HAWAKUBAKI NYUMA
 DADA EMMY HAKUBAKI NYUMA KATIKA HARAMBEE HII
 WADAU SHILA, JESTINA, MUSA, RAMZAN & SAIDI BABU WAKITOA SUPPORT
WADAU LEO, KAMWANO NA FREDDY MACHA KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA  
LEMNA NA WATOTO WAKE WALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUCHANGIA 
KUTOKA KUSHOTO AYUBU MZEE AND ABU FARAJI 
DADA LEMNA (KUSHOTO) WA AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT AKITOA SUPPORT


Comments

  1. HONGERENI ILA IMESIKITISHA SANA WATANZANIA WALIO UK NI WENGI MNO ILA PESA ZILIZOPATIKANA NI NDOGO MNO KULINGANISHA NA WATU WALIOPO HUKO,JAMANI TUJIFUNZE KUSAIDIANA KABLA HATUJA SAIDIWA NA WENGINE

    ReplyDelete

Post a Comment