WAPENZI NA MASHABIKI WA RAY C KAMA KILA MMOJA WETU ALIVYONA, KUSIKIA NA KUSOMA KUSHUSU HALI YA YAKE YA KUATHIRIKA KWAKE NA MADAWA YA KULEVYA BASI UKWELI NA HABARI ZA KUAMINIKA NI KWAMBA RAY C ANA HALI MBAYA NA ANAHITAJI MSAADA KWAAJILI YA MATIBABU. KAMA KUNA YEYOTE AMBAE ANAGUSWA NA JAMBO HILI NA KUTAKA KUSAIDIA AWASILIANE NA MAMA YAKE MZAZI KUPITIA NJIA YA SIMU KWA NAMBA IFUATAYO +255655999700 KWA MAELEZO ZAIDI NA NINI CHA KUFANYA. TUMSAIDEIE NDUGU YETU, MSANII WETU NA RAFIKI YETU. RAY C NI WETU SOTE. ASANTENI KWA USHIRIKIANO WENU NA UPENDO WENU KWA RAY C. NAWAKILISHA NA KUTOA WITO.
KUTOA NI MOYA SI UTAJIRI.
MUGU AWABARIKI WOTE WATAKAO GUSWA NA HILI NA KUSAIDIA KWA NJIA YEYOTE ILE IKIWA PAMOJA NA MAOMBI.
KUTOA NI MOYA SI UTAJIRI.
MUGU AWABARIKI WOTE WATAKAO GUSWA NA HILI NA KUSAIDIA KWA NJIA YEYOTE ILE IKIWA PAMOJA NA MAOMBI.