Darasa la Makeup na Kufunga Vilemba

Umejiwekea malengo ya kujifunza kitu gani kipya mwaka huu kitakachokupa ujuzi na kukuongezea kipato cha ziada? Tunakusogezea fursa ya kujifunza urembo kutoka kwa wakufunzi wetu hapa @zuriibeautyacademy na ujiongezee ujuzi wa kufanya kile ukipendacho. Fika chuoni kwetu 📍72 Haile Selassie Road, Masaki au wasiliana nasi 📱☎️0746666636 kwa maelezo zaidi. #zurii #zuriiafrica #zuriibeautyacademy #beauty #beautiful #urembo #urembonifursa #tanzania #daressalaam #arusha #mwanza #tanga #mbeya #iringa #dodoma #kahama #nairobi #nails #hair #skincare #braiding #ususi #yeboyebo #yeboyebostyle

Comments