Mufti Mkuu Tanzania Asema na wanaopiga mziki wakati wa kufuturisha

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry ambapo amewahasa Waislamu na wasio Waislamu kuzingatia maadili wakati wa kufuturisha katika Mwezi mtukufu wa Ramadhani hasa kwa kuacha kufanya mambo yanayokiuka misingi ya dini ikiwemo kupiga mziki.
Wale wanaofuturisha wajaribu kulinda maadili ama utamaduni wa Kiisalumu, isiwe watu wanafuturisha huku wanapiga mziki ama wanasema maneno mengine,” amesema.

credit::Millardayo

Comments