AFANDE SELE THE KING AWAKARIBISHA WADaU MOROGORO KUPITIA UKURUSA WAKE WA FACEBOOK...!!!

Kupitia ukurasa wake wa facebook msanii mkongwe wa Bongo Flava aka Tanzania King of Rhymes/Hip Hop Flavour Afande Sele amepost picha yake akiwa na bondia Francis Cheka na kuandika:
Na sisi tunasema asante Afande tutakaribia Mji kasoro Bahari.

Comments

  1. Afande seleeee thé king mbunge mtarajiwa wa moro mjini..na utashinda kwa kishindo..tushachoka na hilo dosi wacha tulitoe...wanamoro uzawa kwanza kwakwenda mbele.

    ReplyDelete

Post a Comment