AFANDE SELE THE KING AWAKARIBISHA WADaU MOROGORO KUPITIA UKURUSA WAKE WA FACEBOOK...!!!
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kupitia ukurasa wake wa facebook msanii mkongwe wa Bongo Flava aka Tanzania King of Rhymes/Hip Hop FlavourAfande Sele amepost picha yake akiwa na bondia Francis Cheka na kuandika:
Na sisi tunasema asante Afande tutakaribia Mji kasoro Bahari.
Afande seleeee thé king mbunge mtarajiwa wa moro mjini..na utashinda kwa kishindo..tushachoka na hilo dosi wacha tulitoe...wanamoro uzawa kwanza kwakwenda mbele.
ReplyDelete