Kwa
kupeleka pesa kutoka
Canada,
UK, Australia,
New Zealand na Europe (EU)
kupitia
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Ltd).
Peleka kutoka nyumbani kwako
bila ya kuenda benki
kwa bei nafuu zaidi!
Fuata hizi hatua 3 rahisi kwa kubonyeza hapa: PBZ Ltd
Shime shime tuinyanyue Zanzibar yetu!
Shime shime tuinyanyue Zanzibar yetu!
Source : Zanzibar-Canadian Diaspora Association (ZACADIA)

Kwanza niushukuru Uongozi wa PBZ kwa kukubali mageuzi ya dhati na yaliyoshamiri Maendeleo kwa jamii.
ReplyDeleteHivi sasa wananchi walio wengi wanapata taarifa za fedha kupitia kwenye simu zao za mikononi, ingawa taarifa zinazopatikana nadhani ni kwa wisho wa mwezi tu au...........
Pendekezo langu kwa uongozi wa PBZ kwa nini hatujafikia hatua ya mteja kuona taarifa zake moja kwa moja kupitia kwenye mtandao?