PELEKA PESA ZANZIBAR KUPITIA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ LTD)...!!!

Iwezeshe Zanzibar yako!
Kwa 
kupeleka pesa kutoka
Canada,
 UK, Australia,
 New Zealand na Europe (EU) 
kupitia
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Ltd). 
Peleka kutoka nyumbani kwako
 bila ya kuenda benki
kwa bei nafuu zaidi! 
Fuata hizi hatua 3 rahisi kwa kubonyeza hapa: PBZ Ltd

Shime shime tuinyanyue Zanzibar yetu!

Source : Zanzibar-Canadian Diaspora Association (ZACADIA)

Comments

  1. Kwanza niushukuru Uongozi wa PBZ kwa kukubali mageuzi ya dhati na yaliyoshamiri Maendeleo kwa jamii.
    Hivi sasa wananchi walio wengi wanapata taarifa za fedha kupitia kwenye simu zao za mikononi, ingawa taarifa zinazopatikana nadhani ni kwa wisho wa mwezi tu au...........
    Pendekezo langu kwa uongozi wa PBZ kwa nini hatujafikia hatua ya mteja kuona taarifa zake moja kwa moja kupitia kwenye mtandao?

    ReplyDelete

Post a Comment