MJUE MSANII MKAZUZU WA KITAA...!!!


Mkazuzu ni msanii wa kibongo anaishi hapa ukerewe mjini Kusoma ambae anakuja juu. Hi ni Single yake ya pili inaitwa Hustle akimshirikisha msanii Mrembo Ordaine.
Ngoma hii imetengenezwa ndani ya studio za urban pulse na produzya mkali Young Josh ikiwa ni mojawapo ya soundtrack ya Movie ya £ovely Gamble.
Tunawaomba wadau wote kumpatia support msanii huu ambaye ameanza safari hii ndefu ya anga la muzuki.

Asante

Urban Pulse Creative


Comments