Edina Mgm wa Ahaus Ujerumani (kwenye picha hapo juu) anapenda kuwafahamisha ndugu jamaa na marafiki wote ya kwamba tarehe 28 May 2011 kutakuwa na Kisomo cha marehemu MAMA Yake Mpenzi aliyefariki tarehe
14 April 2011.
Dua itafanyika nyumbani kwake
Markt 5-7
Ahaus 48683
Germany
Comments
Post a Comment