ANITA RUMADHA-MUNGAI ALAMBA NONDOZZZ UNIVERSITY OF NORTH TEXAS NA SHAHADA YA SOCILA WORK...!!!

 Anita akiwa katika foleni ya kwenda kuchota nondozzzz
Anita na Rumadha wakiwa watoto wao Ruani na Iman  
Profesa wa Anita anaungana nao na marafiki katika picha ya pamoja 
Mdau Anita Mungai-Rumadha na mume wake Sensei Rumadha Fundi (shoto) na cousin wake Kitova Mungai baada ya kula nondozzz ya Social Work Chuo Kikuu cha University of North Texas 
Mdau Anita Mungai Rumadha akiwa na mume wake Sensei Rumadha Fundi
Ndugu, jamaa na marafiki wakifurahia nondozzz ya Anita

Comments