MALARIA IS DANGEROUS...!!!

OK JAMANI  NDUGU ZETU WANAKUFA WENGI SANA NA WA AFRICA TUMEKAA KIMYA. KAMA UPO NJE YA AFRICA UNAWEZA KUNUNUA WIMBO  NA KUCHANGIA ILI TUGOMBANE NA UGONJWA WA MALARIA NI HATARI. HELA ITASAIDIA KUTANGAZA NA KUJARIBU KUTAFUTA KINGA  YA UGONJWA UNAO WAUA WATOTO WENGI WA KIAFRIKA NA WEUSI KUPITA UGONJWA WOWOTE ULE DUNIANI. 
THENKX THIS IS ALEX KAJUMULO THE BUSHMAN ONE LOVE IS LAW

Comments