Mtoto Glory anavyoonekana sasa
Msaada wa kuokoa maisha ya Malaika huyu unahitajika. Anaitwa Glory na ana umri wa miaka mitatu (3). Glory alizaliwa vizuri tu lakini ghafla akaanza kuumwa kama anavyoonekana kwenye picha.
Hali yake inazidi kubadilika kadri muda unavyoenda. Kama unavyojua matibabu ya nyumbani Tanzania yalivyomagumu. Kwa msaada wako, tunatarajia kumsafirisha Glory kwenda nchini India. Gharama za matibabu ni kubwa mno hivyo tunaomba msaada wowote ule. Kwa aliye tayari, piga simu hii: +255 754 39 7272 kwa mama yake huyu mtoto.

Mbarikiwe nyote.
Hii post natoaa mchangowangu kuisambaza zaidi
ReplyDelete