Tunatafuta Muigizaji mwanaume mwenye Kipaji au kwa kiingereza a
Talented Male Actor.
Ambaye anaishi UK, kwa ajili ya Music video - Project inayotegemewa
kuanza katikati au mwishoni wa mwezi wa sita mwaka huu.
Mwanaume awe na umri wa kuanzia Miaka 28 mpaka 55, sifa ya muhimu ni
KIPAJI cha KUIGIZA.
Tungependelea Mtanzania au Mkenya ambaye haishi zaidi ya maili 40
kutoka Mji wa READING.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Project hii, na kwa wale watakaotaka kutumia
uwanja huu kuonyesha vipaji vyao katika Project hii ya wimbo maarufu
wa Francia, tafadhali tuma barua pepe kwenye hii email ifuatayo ninapenda11@gmail.com
Asante sana
Management ya Francia - UK

Comments
Post a Comment