URBAN PULSE INAWALETEA: DIASPORA III PART 1...!!!

URBAN PULSE CREATIVE inawaletea sehemu ya kwanza ya mkutano wa Diaspora lll uliofanyika wiki iliyopita hapa jijini London. Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh Bernard Membe alieambata na wabunge wa vyama  na taasisi mbalimbali za serikali ya  Tanzania.

Asanteni
URBAN PULSE CREATIVE

Comments