WADAU MBALIMBALI WA KIPINDI KILICHOJIZOLEA UMAARUFU CHA KIZAA ZAA MICHEZONI KINACHORUSHWA ITV BONGO...!!!
Mzee Jamal Rwambo ,Marijani na wadau wengineo
Mdau wa Yanga na Cliford Mario Ndimbo wakijadili kwa kina
Wadau Jamal Rwambo,Ally Kambaya,Marijani,Kipenga na wadau mbalimbali wakijadiliana kwa nguvu ya hoja "Kwanini michezo mbadala wa Mpira wa miguu hazipati Udhamini"
Mwanamichezo mwenye matatizo ya moyo aliyeeitaji msaada kwa ajili ya matibabu
Ally Kambaya wakibishana hoja za kimichezo na Kipenga...
Dimo Debwe akitoa mchango wake kwa Jamal Rwambo
Mdau wa Yanga na Cliford Mario Ndimbo wakijadili kwa kina
Crew inachorekodi kipindi cha Kizaa zaa
Mwanamichezo mwenye matatizo ya moyo aliyeeitaji msaada kwa ajili ya matibabu.
Kipenga,Mama Mbiro na Jamal Rwambo
Kipenga akihesabu Fedha zilizopatikana kabla hajazikabidhi.
Ally ,IP na Mama Mbiro
Image Credit: Image Profession
Comments
Post a Comment