DAWA FAKE YAKUONGEZA MAKALIO...!!!

Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Gaudensia Simwanza akionesha dawa feki ya kuongeza ukubwa wa makaliokatika banda TFDA kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
(Picha na Mdau Richard Mwaikenda)

Comments

  1. Samahani saaanaaaa ma dada mnaoongeza makalio Nataka kuuliza swali? Hivi wakati wa mambo yenyewe hivi makalio yana raha gani? Sijui kama mnaelewa kitu gani naamanisha! Mdau akili mali

    ReplyDelete
  2. Samahani saaanaaa ma dada mnaoongeza makalio nataka kuuliza swali!! Hivi wakati wa mambo yenyewe hivi makalio yana raha gani? Sijui kama mnaelewa kitu gani naamanisha?

    ReplyDelete

Post a Comment