HII KWELI NI ZAIDI YA MSIBA! MAY THEIR SOULS R.I.P...!!!

Mmm jamani hizi ajali huko Tanzania sasa ni too much na zinatisha sana! 
Jamani serekali mko wapi? Please do something, ndugu zetu wanakufa ovyo sababu ya ajali zinazo weza kuzuilika, kwa kweli inasikitisha sana.

Kwa habari zaidi kushu tukio hili la kusikitisha bofya hapa

Comments