KITU KIPYA NA SAFI 'AT FT. MWA4 – 'VIFUU TUNDU'! MAMBO YA MDUARA LIVE...!!!

Nyimbo mpya ya mduara iitwayo Vifuu Tundu”, hivi karibuni AT alifunguka kuwa ni jibu la track Kidudu Mtu” anayodai kuwa Offside Trick walim-diss yeye. ”Vifuu Tundu kule zanzibar ni watu wasiokua na maana na wao wameanza na mimi nimewajibu na kama wanataka kutoa wimbo wa kujibu Vifuu Tundu niko tayari kwa mapambano” alisema AT.

Source: DarTalk.com

Comments