PICHA ZINA ONGEA MI SINA MENGI!!! ENJOY!!!
Steve nyerere na Chopa wakiandaa champagne kikomedy wakati Mariam yuko getini akiingia,The great nikishugulika na keki
Alikaribishwa na Champagne
Surpriseeeee iliendelea ndani hahahaha
kwa jinsi ilivyofunguliwa champagne hata wewe ungecheka lakini kikubwa bi Mariam yeye nusu kuzimia
Keki aliyoandaliwa MRS HARTMAN
Keki kwaajili ya watoto wake wawili Clinton na Hartman jr.
Hartman akicheza kwa furaha kuiona familia yake lakini pia wakati yuko airport hakujua maandalizi yaliyopo nyumbani kwake tuliyomuandalia rafiki zake
Nimekumiss sana mme wangu..ebu kuuula keki baaasii.....
Clinton Hartman akimlisha baba yake
Hartman jr akimlisha mama yake
Baba kwa mtoto sasa
kikomedi komedi zaidi hayahaya Steve nyerere
aaa the Great akajisahau akatafuna na kijiti lol
Guda boy nae alikuepo
Chozi la furaha likamtoka Hartman
Pole sana wife kwa safari ndefu,asante pia kuniletea wanangu niwaone
Clinton akionesha tuzo aliyopata UK kutokana na ufungaji bora wa mpira wa miguu katika timu yao under 18
Clinton Hartman Mbilinyi akitoa maelezo kwa English juu ya tuzo aliyopata
The great na MRS Hartman
Ray the Greatest na Mariam wa Hartman
Ukikaa karibu na steve nyerere usipocheka basi utakuwa na matatizo
Hassan S na shem wake
Familiaaaaaaaa
Steve Nyerere akitoa nenoo kwa niaba ya marafiki
Vinywaji vikaanza....
aaaa hi safi sana. Hongera Hartman una mke na watoto wazuri sana
ReplyDelete