MHE. BALOZI WA TANZANIA UK AHUDURIA "TROOPING THE COLOUR EVENT...!!!

Balozi P Kallaghe akiwa na familia yake nje ya ofisi na makazi ya Waziri Mkuu No.10 Dowing Street 
 Malkia Elizabeth ll katika gari la kuvutwa na farasi
Parade ya nguvu
Picha ya pamoja Mh waziri mkuu wa uingereza David Cameron na familia ya Kallaghe

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter A. Kallaghe na familia yake walipata mwaliko maalum kutoka ofisi ya waziri mkuu nchini uingereza mheshimiwa David Cameroon 10 Downing street, London siku ya Jumamosi tarehe 11/6/2011 kuhudhuria  "Trooping The Colour",  Parade maalum ya kila mwaka ya kuadhilimsha siku ya kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth II.




Asanteni, imetumwa na
Urban Pulse Creative

Comments