MO AWASHANGAZA WALIMU SINGIDA AWAPIGA NA 50,000 KILA MMOJA, UKUMBI WALIPUKA KWA VIGELEGELE...!!!

 Mbunge wa Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji akizungumza na walimu 808 wa shule 43 za Msingi Manispaa katika hafla fupi iliyoandaliwa na ofisi yake kwa ajili ya kukutana na walimu hao ili kubaini changamoto zinazowakabili katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.
 Walimu wakilipuka kwa nderemo na vifijo mara baada ya MO kuwatangazia posho ya 50,000 kila mmoja walimu hao.
 Walimu wa shule za msingi Manispaa ya Singida wakimsikiliza kwa makini Mh. Dewji kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Misuna.
MO akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Mtamaa, walioketi mbele kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Yona Maki, Katibu wa CCM Mjini Mary Maziku na Kaimu Ofisa Elimu Manispaa ya Singida Ramadhan Labito.

Kwa habari na picha zaidi tembelea MOBLOG

Comments