MWANAMKE HEENA BIBI...!!!

Mashallah!! Pendeza sana Mrs Issu!!!
Madini si mchezo!!
Kivazi kimetulia sana
Love it

Heena Imetulia na hizo accessories mie penda sana!!
Kazi ikiendelea

MWANAMKE NA ASILI YAKE!! PENDEZA SANA!!!

Comments

  1. Plz namba ya mpakaji kama anaishi UK.. THX in advance...

    ReplyDelete
  2. Mchoraji yuko Tanzania na ni kwenye saloon inaitwa Johrah Classis iko kariakoo number yake ni 0715282209 au 0777608060..Mnaopenda kuchora hina mtafurahi nafsi zenu.

    ReplyDelete
  3. Mi huwa sipendi hina ila hii ya huyu dada nimependa sana.

    ReplyDelete

Post a Comment