R.I.P DADA FATUMA...!!!

Siku ya leo ni ya huzuni sana kwetu maana tumempoteza dada yetu na rafiki yetu mpendwa Fatu. Tuli ishi nae kwa amani na upendo kipindi chote alipo kuwa hapa UK. Ila leo Mungu aliamua kumchukua dada yetu mpendwa na kumpumzisha. Tulimpenda sana dada Fatu ila Mungu amempenda zaidi. 
"PUMZIKA KWA AMANI."

"What moves through us is a silence, a quiet sadness, a longing for one more day, one more word, one more touch, we may not understand why you left this earth so soon, or why you left before we were ready to say good-bye, but little by little, we begin to remember not just that you died, but that you lived. And that your life gave us memories too beautiful to forget."
R.I.P SIS

POLENI SANA DA MARYAM WHITE & FAMILY!!! TUKO PAMOJA!!

Comments

  1. Maskini huyu dada si dada yake Mariam White au namfananisha? R.I.P dada

    ReplyDelete

Post a Comment