Timu ya iP Sports Club wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mechi,iP Sports Club Vs Simba Sports Club(B) ,Simba wametufunga 5:1 ,iP Sports Club wamejitahidi vya kutosha,Vijana wa Simba waliweza kubadilisha timu karibia mala tatu huku vijana wetu wakifanya mabadiliko madogo sana.Tunawashukuru sana Simba(B) Sports Club kwa kuitikia wito wetu.
Timu ya Simba (B) Sports Club wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mechi,iP Sports Club Vs Simba Sports Club(B) ,Simba wametufunga 5:1 ,iP Sports Club wamejitahidi vya kutosha,Vijana wa Simba waliweza kubadilisha timu karibia mala tatu huku vijana wetu wakifanya mabadiliko madogo sana.Tunawashukuru sana Simba(B) Sports Club kwa kuitikia wito wetu.
Image Credit: Image Profession
Comments
Post a Comment