TEAM YA WATOTO YA KAJUMULO, TEMBO FC YAIBUKA WASHINDI WA PILI KWENYE STATE TATU HUKO MAREKANI...!!!

Kajumulo akiwa na team yake ya Tembo FC baada ya kuibuka wahindi wa pili kwenye state tautu za Origan, Idaho & Washington State. Kajumulo amekuwa akiwatrain watoto hao tangia wana miaka kumi. Pichani wamevaa uniform za KAJUMULO.

Big up Kajumulo!!

Comments