THE BEAUTIFUL WEDDING OF MAIGA DANY MAPIGANO & JACKLINE EDMOND MJENGWA...!!!

 Bwana harusi, Maiga Dany Mapigano na Bibi Harusi Jackline Edmond Mjengwa. Leo jioni ilikuwa ni jioni ya kihistoria kwao. Ni katika kanisa la KKKT, Azania Front jijini Dar es Salaam, wamefunga pingu za maisha. Kanisani hapo palilindima shangwe, vigeregere na vifijo. Ni furaha ya Ndoa kati ya Maiga na Jackline.
 Maiga na Jackline wakiwa wamepozi kwa utulivu kabisa wakati ibada takatifu ya Ndoa yao ikiwa inaendelea.
Maiga na Jackline (katikakati) wakiwa na wapambe wao. Ni jioni ya leo, Katika kanisa la KKKT, Azania Front, jijini Dar es Salaam.

HONGERENI SANA NA TUNA WATAKIA NDOA YENYE BARAKA, UPENDO, NA AMANI...!!!
Picha hisani ya Matukiouk

Comments

  1. U guys look great the perfect couple

    ReplyDelete
  2. U guys look great 4rm breezy

    ReplyDelete
  3. Aaaaagh!Maiga.....Enzi za Ruvu.Hongereni sana!!!!!

    ReplyDelete
  4. Da niliona this wedding kwenye chereko but sikujua kbs km ni ww Danny Mapigano wa Bunge kwa Mwl Seba kwa kuwa umechange sn na pia name haikutoka ful plus huyo mdada alivyokuwa anatok utafikiri si mbongo.Da big up sn but mbn Nick Ngonyani na Abdallah Lugusha hawapo?Pongezi nyingi sanaaaaa...

    ReplyDelete

Post a Comment