Mdau Andrew Chale, atembelea mitaa ya Mtoni Mtongani Kwa Azizi Ally maeneo ya Mtoni Unguja Kibox.
Andrew akiwa kwenye pozi juu ya daraja la reli. Eneo linaloonekana relini ni sehemu ya reli inayoelekea Tazara.
Awakiwa na watoto waliokuwa na mishale
Mtoto akiwa anacheza ni mshale wake
Andrew akijaribu mshale
Watoto wanaochota maji wanatoka umbali kidogo kutafuta maji ilikujikimu ikiwemo kuoshea vyombo na kufulia.
Maji hayo wanasema hawajui kama ni salama ama la ila wanayatumia hata kwa kunywa
Andrew akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanao chota maji
Comments
Post a Comment