BREAKING NEWS!!! MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI ASHIKILIWA NA POLISI...!!!

Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi (SUGU) amekamatwa leo jioni na Polisi mkoani Mbeya  akidaiwa kufanya Mkutano wa hadhara maeneo ya uwanja wa Ruanda Nzovwe bila kibali cha jeshi hilo, amenyimwa dhamana yeye yupo rumande mpaka usiku huu.


Comments