Beautiful bride to be Rose
Rose akiwa na mpambe wake tayari kuingia ukumbini
Gorgeous African Touch
Lovely
Full shangweeee
Mashostiiiii
watu waliingi na ngoma za kiyaoooo chezea
Mashosti wa ukwee'
MANENO YA HEKIMA!
Dada mkubwa akimwaga usia
Dada Chanda akisema yake
Mambo ya kiyaoo pale
Elina nae na yake
Mrs Nasibu full kusisitiza
Anna hakubaki nyuma
Rayaaaaa kwa raha zake
Ray pale na husia wake
Mama Shughuli Khadija nae hakubaki nyuma
Mamdogo akiongea yake machache
Laura alimalizia na yake
THE MENU!
Pilau & Ugali
Kisamvu na matembele ya karanga chakula asili cha wayao
Samaki, ndizi, kuku choma
Mahanjumati, chapati, cake, bajia, mishikaki, samosa
THE CAKE!
MAMBO YA KUSASAMBUA LIVE...!!!!
Chezeaaaaaaaaaaa mama Malcolm! Juu sanaaaaaa
Mambo ya kublend
Kitu cha Rice cooker
Visu live only to be used to chop food lol!
Hapo chacha mwanamke kupika
TANESCO mpoooooooooooo
Khadija juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
DECORATIONS
Mambo ya kitchen set Red, Black & White
Kitu cah nyungo na kinu live
Decorations courtesy of Laura & Wendy
'MAMA NI MLEZI KANILEA KWA MAPENZI'
HONGERA SANA ROSE & ALL THE BEST!
All images ©JESTINA GEORGE
Comments
Post a Comment