HATIMAE MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI AACHIWA LAKINI BONANZA LAKE LAPIGWA STOP...!!!

 Mh Joseph Mbilinyi akiwa nje ya kituo cha polisi mbeya mara baada ya kuachiwa huru
  Mh. Sugu akihojiwa na waandishi wa habari hapo kituoni mara baada ya kutolewa
Mh. Sugu akiondoka kituo cha polisi Mbeya

Habari ya bonanza la Sugu ambalo lilikua lifanyike leo kwenye viwanja vya Luanda Nzovwe limesimamisha kwa sababu halina kibali  habari zaidi juu ya bonanza hilo tutawaletea baadae.

Comments