Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kati) akipokipokea taarifa ya marejesho ya malipo ya Rada kutoka kwa Naibu Spika Mhe. Job Ndugai (kulia) aliyeongoza timu ya wajumbe kwenda Uingireza kujadili jinsi marejesho hayo yatakavyafanyika.Kushoto ni Mbunge wa Ilala,Mh. Mussa Azan Zungu.
Wanahabari waliohudhuria tukio hilo wakipata ufafanuzi kutoka kwa Naibu Spika.
Picha na Prosper Minja-Bunge.
Comments
Post a Comment