SUPRISE PARTY YA HARTMANN NYUMBANI KWA SHY-ROSE BHANJI...!!!!

Ilikuwa ni Surprise Party nyumbani kwa Shy-Rose Bhanji maeneo ya Mbezi Beach. Hartmann ana tuelezea ilikuwaje: "Mke wangu aliamua kunishangaza mumewe kwa kunifanyia Suprise hiyo kwa kuwaalika marafiki zangu nyumbani kwa Shyrose kwa kunywa vinywaji na kula. Kwakweli ilipendeza."
Shy-Rose, Angela na Mariam
Shy-Rose, Hartmann na Mariam
 Vinywaji
Vyakula
Maswahiba wa Hartmann kanumba, Peter Kayanza Pinda na Ray
Maryam na Kanumba
Steve Nyerere na Shyrose
 
Shyrose na Ray
 Hartmann akiongoza show
Paul, Shyrose na Marysponsa katika pose
 Steve Nyerere na Kanumba wakifanya makamuzi
Maswahiba wa Hartmann Kanumba na Ray wakimuonyesha mastyle ya kileo

Comments