SURPRISEEEEEEE MOBLOG YAJA KIVINGINE! CHUNGULIA...!!!

Wapenzi na Wadau wa MOBLOG, Kwa furaha kubwa Tunapenda kuwaarifu kuwa Tumehamia kwenye Ukurasa Mpya wa Blog yetu, ambao umeboreshwa  na kuwa wa kisasa zaidi na wenye muonekano wa Kuvutia zaidi!!..!

Ukurasa huo mpya utakuwa ukipatikana katika  anuani ile ile ya www.mohammeddewji.com/blog  ambao umeboreshwa kwa kuwa na masuala mengi zaidi na muonekano wa kupendeza  sambamba na kukuwezesha mdau na msomaji kuchart live, kuchagua masuala uyapendayo kama Michezo, Burudani, Matukio na kadhali kwa upendvyo.

Ni Matumaini yetu mtafurahia mabadiliko hayo na kuendelea kuwa pamoja nasi .

Hili linatokana na kuwajali pamoja na  sababu za kuepuka usumbufu wa kupotea hewani Mara Kwa Mara uliokuwa ukijitokeza na kupoteza taarifa  zetu nyingi na kuwakosesha uhondo ninyi Wadau na wasomaji wetu Mnaotufanya tuendelee kuwepo

Comments