VITABU VYA FADHAA NA SOCCER MONSTER
Hivi ndivyo vitabu vyetu ambavyo hivi punde vitakuwa hewani; lakini SOCCERMONSTER tayari kipo sokoni tangu 2007 kikipatikana katika website hii – www.soccermonster.org.
FADHAA ambacho ni kazi ya ubia kati yangu na mbia mwenzangu Alex Kajumulo, kinakuwa kitabu chetu cha kwanza kutoka katika lugha ya kiswahi (pia kuwa katika kiingereza na kispanish); ndio, hiki kwa sasa kipo kwa wasomaji wetu wateule katika kuona kama wanaweza kuleta mawazo au maoni katika kufanya marekebisho ya mwisho kabla hatujaruhusu kuingizwa sokoni.
Tunaomba msamaha kwakuwa tuliahidi kingetoka mwanzoni mwa mwezi huu, lakini kwakuwa imebidi kuheshimu maoni ya wasomaji hawa wateule ndivyo tutasema lini kitatoka!
Lakini ukweli kipo katika hatua za mwisho kama hapa pichani kinavyoonekana.
Ahsanteni katika yote.
Mcvivien Kulindwa,
Chief Officer, DATADRIVE LTD
Chief Manager (Media branch)
KAJUMULO WORLD SOCCER TANZANIA LTD

Comments
Post a Comment