AUAWA KIKATILI NA WANANCHI WENYE HASIRA KWA KUIBA KUKU ENEO LA MWENGE SHULE YA MSINGI MBEYA...!!!

Marehemu NASIB pamoja na Kuku waliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo.
  Marehemu NASIB EXZAVERY maalufu kama Mkemia akiwa amechomwa moto eneo la viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge Jijini Mbeya kwa kosa la wizi wa kuku ambaye Mwenye Kuku huyo hajafahamika.
 Inasikitisha sana
 Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya
 Gari hili ndilo linalodaiwa kuwa marehemu alikuwa akifanya kazi kama Utingo.
Watoto wa shule ya Msingi Mwenge wakiwa eneo la Tukio.
Je ni haki mtu kuuwawa kikatili kiasi hiki? 
Picha na habari kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog

Comments