DALA DALA MBEYA ZAPADISHA NAULI KITUO HADI KITUO SH 1000 KISA MAFUTA HAKUNA...!!!

 Dala dala za Mbeya zimepandisha nauli kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi kituo sababu ni kukosekana huduma ya mafuta katika vituo vyote vya Mbeya
Hiki ni kituo cha mafuta cha BP Mbeya toka juzi wanasema hawana mafuta

Picha hisani ya: Mbeya yetu Blog

Comments